Ukweli Ni Kitu Gani? - Pd Sebastian Mpango Nzabhayanga - Boeken - Createspace Independent Publishing Platf - 9781724920461 - 9 augustus 2018
Indien omslag en titel niet overeenkomen, is de titel correct

Ukweli Ni Kitu Gani?

Pd Sebastian Mpango Nzabhayanga

Prijs
€ 15,49

Besteld in een afgelegen magazijn

Verwachte levering 24 jun. - 4 jul.
Voeg toe aan uw iMusic-verlanglijst

Ukweli Ni Kitu Gani?

Kitabu hiki, "Ukweli ni Kitu Gani," kinatondoa [fafanua kwa umakini] dhana Ukweli, kwa mifano tosha kumsaidia msomaji kuelewa anachosoma. Nimefafanua shida zinazotokea katika kufikiri na kuongeza hata kuleta mizozo na mitafaruku katika jamii. Sehemu ya Hairakia ya Ukweli imeeleza vema mlinganisho wa vipengee vya ukweli kwa namna ambayo sidhani kama umepata kuiona kwa Kiswahili. Nimeandika pia kitabu kingine kwa mtindo kama huu, na wasomaji wamekipenda. Naamini nawe utakipenda kitabu hiki na kitakuwa cha manufaa. Waweza kunipa maoni yako kupitia: sebba-mn@live.com

Media Boeken     Paperback Book   (Boek met zachte kaft en gelijmde rug)
Vrijgegeven 9 augustus 2018
ISBN13 9781724920461
Uitgevers Createspace Independent Publishing Platf
Pagina's 200
Afmetingen 140 × 216 × 11 mm   ·   235 g
Taal en grammatica Swahili